Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Viumbe hatari zaidi katika ustawi wa nchi yetu siyo bacillus bacteria, wala plasmodium, wala HIV wala corona -- ila ni wale watu wanaotuhadaa kuwa ni viongozi wetu na wapo kwa ajili ya maslahi mapana ya umma, ilhali hata wangepewa miaka elfu ofisini hakuna lolote bora la mafanikio watendalo zaidi tu ya kuendekeza uzembe, rushwa, ufisadi, kujinufaisha, migawanyiko, ugomvi, migogoro na ulevi kwa namna zake mbili.
Mbili, tatu za falsafa za siasa ni kuhadaa umma
 
Kesho taifa letu litakuwa na Mustakabali imara
Imara sana kwa sababu ya msingi bora ambao umewekwa particularly kuanzia kipindi cha miaka mitano iliyopita ya viongozi wanaojua maana halisi ya uzalendo wa kweli, utumishi wa haki na sheria, nidhamu na miiko ya kazi, weledi, uwekevu, kubana matumizi, ubunifu, bidii, ushupavu na kumtanguliza Mola kwa maslahi mapana ya maendeleo ya taifa, na pia utekelezaji fanisi wa vitendo
 
Vitendo

Vitendo ni bora kuliko maneno...
 
Muruwa kabisa Jasmoni Tegga unapenda kutupa sana habari za jpm ,haya watanzania mumsikilize kwa makini
Makini sana huyu Rais wetu mzalendo na mpenda-maendeleo ya kweli; ni kiongozi mwenye msimamo thabiti, asiyeyumba wala kuyumbishwa, ni mbunifu na mwenye maamuzi ya kujitegemea yenye maono, anayependa kuona usawa katika nchi yake, si mbaguzi wa dini, rangi, kabila, hadhi, jinsi wala jinsia, ama elimu; ni msema kweli na wala hawafumbii macho wabadhirifu, walarushwa, wahujumu-uchumi, wapiga-dili na madalali wa mabeberu
 
Makini sana huyu Rais wetu mzalendo na mpenda-maendeleo ya kweli; ni kiongozi mwenye msimamo thabiti, asiyeyumba wala kuyumbishwa, ni mbunifu na mwenye maamuzi ya kujitegemea yenye maono, anayependa kuona usawa katika nchi yake, si mbaguzi wa dini, rangi, kabila, hadhi, wala elimu; ni msema kweli na wala hawafumbii macho wabadhirifu, walarushwa, wahujumu-uchumi, wapiga-dili na madalali wa mabeberu
Mabeberu wameipata meseji kikamilifu
 
Back
Top Bottom