Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mawazo ni miongoni mwa mambo ambayo binadamu hawezi kuyaepuka.
 
Kunguni wamechangia kuzorota kwa afya yangu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yangu macho, naona bado watu wanaharibu sequence badala ya kwenda mbele wao wanarudi kinyume nyume wacha kikae gado
 
Gado ni neno lililopewa umaarafu na mwanamuziki wa kizazi kipya ajulikanaye kama Zay B.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Gado ni neno lililopewa umaarafu na mwanamuziki wa kizazi kipya ajulikanaye kama Zay B.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Zay B ni dada aliyefulia kimuziki kwa sasa
 
Back
Top Bottom