Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

mawazo yanatolewa kwa kuongea na wenzako kuhusu jambo ambalo linakusumbua na sio kunywa pombe
 
Mr Kicheko wapi wakati Sting nipo ???

?? watu tumekuwa tukijiuliza mbona hatupewi tuzo zetu za ubingwa kumbe kuna mburula humu wanaharibu sequence ya huu mchezo wetu so unaonekana hauna tija tena. Mwanzisha uzi upo wapi uweke vigenzo na mashart ya kuzingatiwa pia uweke siku, tarehe na muda wa kumaliza hili shindano hili bingwa wa mabingwa apatikane.
 
Apatikane akiwa hai au amekufa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Afrika kuna lugha nyingi sana na ndio maana kuna baadhi ya lugha huendana na kabila za watu sasa mimi hujiuliza hii lugha ya kiswahili ni ya kabila gani

Gani alikuwa ni mpenzi wangu wa utotoni.

Back
Top Bottom