Mtende unabahati sana kuota jangwaniMrefu kama mti wa mnazi au wa mtende
Jangwani huwezi kuokota embeMtende unabahati sana kuota jangwani
Embe dodo limelala mchanganiJangwani huwezi kuokota embe
Mchangani kuna raha yake, hasa mchanga wa bahariniEmbe dodo limelala mchangani
Mchangani kulala utaibuka na koronaEmbe dodo limelala mchangani
Baharini kuna jiniMchangani kuna raha yake, hasa mchanga wa baharini
Jini mahaba anaoa pasipo kutoa mahariBaharini kuna jini
Mahari ni utamaduni usio na mashikoJini mahaba anaoa pasipo kutoa mahari
Mashiko yapo maana mahari ni zawadi kwa mzaziMahari ni utamaduni usio na mashiko
Mzazi wangu ni msingi wa maisha yanguMashiko yapo maana mahari ni zawadi kwa mzazi
Yangu macho, sina cha kusema maana nimefungwa mdomoM
Mzazi wangu ni msingi wa maisha yangu
Mdomo unaweza fungua hakuna wa kukuzuiaYangu macho, sina cha kusema maana nimefungwa mdomo
Kukuzuia naweza sema sijaamuaMdomo unaweza fungua hakuna wa kukuzuia
Sijaamua kusema maana sioni hajaKukuzuia naweza sema sijaamua
Sasa hapo sio kuoa.Jini mahaba anaoa pasipo kutoa mahari
Kuoa ni kufanyaje?Sasa hapo sio kuoa.
Ni kufuata taratibu ikiwemo kutoa mahariKuoa ni kufanyaje?
Kufanyaje!!? Mkubwa hivyo na hujui?Kuoa ni kufanyaje?
Hujui kwa sababu hujaoaKufanyaje!!? Mkubwa hivyo na hujui?
Hujaoa kwa sababu unakula ujanaHu
Hujui kwa sababu hujaoa