onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Hajaloana??mm napita tutaonana baadae.Kumla kwake huwa ni kwa mbinde sana hasa akiwa bado hajalowana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajaloana??mm napita tutaonana baadae.Kumla kwake huwa ni kwa mbinde sana hasa akiwa bado hajalowana
Baadae utakuta mwana si wakoHajaloana??mm napita tutaonana baadae.
Wako mwandiko nina mashaka naoBaadae utakuta mwana si wako
This time ninyoshee mkono tu dance mziki mtaamuNao wanataka kampani yangu this time!
Mtaamu sana kula kwa pilipili na chumviThis time ninyoshee mkono tu dance mziki mtaamu
Chumvi hii ya mapishi mbalimbali ina thamani ktk soko la vyakula..Mtaamu sana kula kwa pilipili na chumvi
Vyakula hujenga mwili, kuupatia nguvu, joto, na kinga dhidi ya magonjwaChumvi hii ya mapishi mbalimbali ina thamani ktk soko la vyakula..
Magonjwa ni ya kuyasikia tu.. Mola ayapishe mbali.Vyakula hujenga mwili, kuupatia nguvu, joto, na kinga dhidi ya magonjwa
Mbali sana lakini tutafikaMagonjwa ni ya kuyasikia tu.. Mola ayapishe mbali.
Tutafika tuendako iwapo tutaweka malengo.Mbali sana lakini tutafika
Malengo kipindi hiki ni ngumu sana kuyatimizaTutafika tuendako iwapo tutaweka malengo.
Kuyatimiza inawezekana kwa yeye atuwezeshaeMalengo kipindi hiki ni ngumu sana kuyatimiza
Kuyatimiza inawezekana kwa yeye atuwezeshae
Yote kwa pamoja siyaweziAtuwezeshae ni mola muweza wa yote
Siyawezi malumbano na jahili bora msomi tutaelewanaYote kwa pamoja siyawezi
Tutaelewana tu mitano tenaSiyawezi malumbano na jahili bora msomi tutaelewana
Tena.. haswa Neno tena limekuwa Kero hebu tuachane na udaku ili tusonge, maisha muruwa yapo usoni...Tutaelewana tu mitano tena
Usoni ukimuona utazani mtu mwema, ila moyo wake ungeuona ungestaajabu sanaTena.. haswa Neno tena limekuwa Kero hebu tuachane na udaku ili tusonge, maisha muruwa yapo usoni...
Usoni ukimuona utazani mtu mwema, ila moyo wake ungeuona ungestaajabu sana
Sana ni kivumishi!?Usoni ukimuona utazani mtu mwema, ila moyo wake ungeuona ungestaajabu sana