onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Niliyomkabidhi hajaifikisha inapotakiwaWamkwapue bahasha la kitita niliyomkabidhi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliyomkabidhi hajaifikisha inapotakiwaWamkwapue bahasha la kitita niliyomkabidhi...
Inapotakiwa kufika hii nchi,ni uchumi wa Kati na viwanda pigeni kazi acheni za kitoto hadithi.Niliyomkabidhi hajaifikisha inapotakiwa
Hadithi za sasa ni ....... malizia mwenyewe!!Inapotakiwa kufika hii nchi,ni uchumi wa Kati na viwanda pigeni kazi acheni za kitoto hadithi.
Mwenyewe??mi tano tena[emoji23][emoji23]Hadithi za sasa ni ....... malizia mwenyewe!!
[emoji23][emoji23] unakwamaMwenyewe??mi tano tena[emoji23][emoji23]
Unakwama?? ,vp hapa nakwama kwa njia gani ,hebu fafanua[emoji23][emoji23] unakwama
Fafanua kitendawili tusichokifahamu sisi ni wazalendo imara !!Unakwama?? ,vp hapa nakwama kwa njia gani ,hebu fafanua
Imara sana hii simu yangu, ina miaka mitano sasaFafanua kitendawili tusichokifahamu sisi ni wazalendo imara !!
Sasa tunaomba hyo unipe mm wewe nunua nyingineImara sana hii simu yangu, ina miaka mitano sasa
Nyingine sinunui kwanza, utamu wa kitu kitumie hadi mwisho wakeSasa tunaomba hyo unipe mm wewe nunua nyingine
Wake zake wote wazuriNyingine sinunui kwanza, utamu wa kitu kitumie hadi mwisho wake
Wazuri wapi? Mmoja tu labdaWake zake wote wazuri
Labda huwajui weweWazuri wapi? Mmoja tu labda
Wewe ni wa pekeeLabda huwajui wewe
Pekee yako hautaweza majukumu yoteWewe ni wa pekee
Yote kwa Mungu yanawezekanaPekee yako hautaweza majukumu yote
Yote yako chukuaPekee yako hautaweza majukumu yote
Chukua na samaki mkavuYote yako chukua
Mkavu sana nimeshindwa kumlaChukua na samaki mkavu
Kumla kwake huwa ni kwa mbinde sana hasa akiwa bado hajalowanaMkavu sana nimeshindwa kumla