Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Usisibike kwa magonjwa ya kuambukizaVizuri kujitambua ili usisibike
Kuambukiza kwa makusudi ni kisa la jinaiUsisibike kwa magonjwa ya kuambukiza
Magonjwa ya kuambukiza ni hatari kwa watoto wadogoUsisibike kwa magonjwa ya kuambukiza
Jinai ni jina la utani la rafk yangu mtoto wa parokoKuambukiza kwa makusudi ni kisa la jinai
Paroko anaongoza ibadaJinai ni jina la utani la rafk yangu mtoto wa paroko
Ibada ni unyenyekevu + utiifu + kusalimu amri !!Paroko anaongoza ibada
amri ipi iliyo kuu kuliko zote?”Ibada ni unyenyekevu + utiifu + kusalimu amri !!
Manabii walikuwa na majukumu mazito kutufikisha kwa walengwa!!amri ipi iliyo kuu kuliko zote?”
37 Yesu akamjibu, “Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’ 38 Hii ndio amri kuu, tena ni ya kwanza. 39 Na ya pili inafanana nayo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’ 40 Amri hizi mbili ndio msingi wa sheria zote na Maandiko ya manabii.”
Walengwa ni kikundi maalum cha watu ambao wanavutiwa na huduma au bidhaa zinazotolewaManabii walikuwa na majukumu mazito kutufikisha kwa walengwa!!
Wabongo mnaharibu huu Uzi kwa papara zenu..Ukiona umewahiwa futa Uzi wako mtiririko uwepoMengi ni marehem alishakufa mnamtakia nini wabongo?
Uwepo mtiririko wa vipi?Wabongo mnaharibu huu Uzi kwa papara zenu..Ukiona umewahiwa futa Uzi wako mtiririko uwepo
Uwepo wako ndyo unaharibu pia uzi huu nawe ni mmoja wapo.Wabongo mnaharibu huu Uzi kwa papara zenu..Ukiona umewahiwa futa Uzi wako mtiririko uwepo
Kiongozi amemaanisha hvyo ulivyoelewa,mchango wa mwisho anachangia mtu 1 mwingine anafataUwepo mtiririko wa vipi?
Au ulimaanisha Mchango wa mwisho uwe wa mtu mmoja tu, nikiwa na maana kwa mfano hapa ninapoishia mimi atakaewahi kukamatia iwe ni yeye mtu wa mwisho, na isiwe kwa mfano watu watatu wamkamatie mtu wa mwisho.
Ndivyo ulivyomaanisha au ulikuwa na maana nyingine Kiongozi?
anafata mwendelezo wa mwendazakeKiongozi amemaanisha hvyo ulivyoelewa,mchango wa mwisho anachangia mtu 1 mwingine anafata
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sindiyo mstaarabu wetu iweje kututelekeza?
Kututelekeza Tena..wakat yeye ndiye mstaarabu wetuWewe sindiyo mstaarabu wetu iweje kututelekeza?
Mstaarabu wetu alifanikisha kupatanisha wahasimu!!Kututelekeza Tena..wakat yeye ndiye mstaarabu wetu
wahasimu haha! nawapongeza kwa kufata utaratibu mzuri ni jambo jemaMstaarabu wetu alifanikisha kupatanisha wahasimu!!