Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ibada ni unyenyekevu + utiifu + kusalimu amri !!
amri ipi iliyo kuu kuliko zote?”

37 Yesu akamjibu, “Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’ 38 Hii ndio amri kuu, tena ni ya kwanza. 39 Na ya pili inafanana nayo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’ 40 Amri hizi mbili ndio msingi wa sheria zote na Maandiko ya manabii.”
 
Manabii walikuwa na majukumu mazito kutufikisha kwa walengwa!!
 
Wabongo mnaharibu huu Uzi kwa papara zenu..Ukiona umewahiwa futa Uzi wako mtiririko uwepo
Uwepo mtiririko wa vipi?

Au ulimaanisha Mchango wa mwisho uwe wa mtu mmoja tu, nikiwa na maana kwa mfano hapa ninapoishia mimi atakaewahi kukamatia iwe ni yeye mtu wa mwisho, na isiwe kwa mfano watu watatu wamkamatie mtu wa mwisho.

Ndivyo ulivyomaanisha au ulikuwa na maana nyingine Kiongozi?
 
Kiongozi amemaanisha hvyo ulivyoelewa,mchango wa mwisho anachangia mtu 1 mwingine anafata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom