Maombolezo hayana msingiChato wamemaliza maombolezo
Msingi legelege uawezi himili jengo !!Maombolezo hayana msingi
Jengo la serikali limeangukaMsingi legelege uawezi himili jengo !!
Limeanguka upande upi, mbona sijashuhudiaJengo la serikali limeanguka
Sijashuhudia mechi ya janaLimeanguka upande upi, mbona sijashuhudia
Jana siyo yako tena wee jikite ya leo na ya kesho hatuyajui...Sijashuhudia mechi ya jana
Hatuyajui kwa sababu ni fumboJana siyo yako tena wee jikite ya leo na ya kesho hatuyajui...
Fumbo na kitendawili ni methali za kizamaniHatuyajui kwa sababu ni fumbo
Kizamani haswa tena kwenye shule.za kayumbaFumbo na kitendawili ni methali za kizamani
Kayumba vibaya ktk biashara yake ya Samaki...Kizamani haswa tena kwenye shule.za kayumba
Samaki wa kupaka au wa kuokaKayumba vibaya ktk biashara yake ya Samaki...
Kuoka samaki ni kazi ngumu
Ngumu ilikuwa ujanani uzeeni ni laini..Kuoka samaki ni kazi ngumu
Laini kama nyama ya ulimiNgumu ilikuwa ujanani uzeeni ni laini..
Ulimi wako huo utakuponza Ujue mimi simo!!Laini kama nyama ya ulimi
Wateuliwa ni watu waaminfu na wakweli!!Simo kwenye list ya wateuliwa
Wa kweli katika maslahi ya ummaWateuliwa ni watu waaminfu na wakweli!!
Umma wetu huu ni umma mmoja na Mwenyezi Mungu ni Muumba wetu halisi.Wa kweli katika maslahi ya umma