onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Halisi na hasi kuna tofauti ganiUmma wetu huu ni umma mmoja na Mwenyezi Mungu ni Muumba wetu halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halisi na hasi kuna tofauti ganiUmma wetu huu ni umma mmoja na Mwenyezi Mungu ni Muumba wetu halisi.
Tofauti gani tena waungwana
Vitendo vyema huonekana matunda yake ktk jamii..
Jamii zetu zinawaharibu watoto watu wa kike kwa matendo mabayaVitendo vyema huonekana matunda yake ktk jamii..
Mabaya zaidi ni ukatili wa kijinsia uliyo kubuhuJamii zetu zinawaharibu watoto watu wa kike kwa matendo mabaya
Kubuhu na kupitiliza zaidi ya maelezoMabaya zaidi ni ukatili wa kijinsia uliyo kubuhu
Wako wengi sana wanawake
Kuwezeshwa ni Moja bali kusimamia mwendelezo ndiyo dhahama
Dhahama maana yake sijui
Kweni inabidi ujifunzeSijui kama ni kweli
Ujifunze misamiati ya Lugha ya Kiswahili kwa kutumia kamusi ya KiswahiliKweni inabidi ujifunze
Kiswahili ni lugha ya taifaUjifunze misamiati ya Lugha ya Kiswahili kwa kutumia kamusi ya Kiswahili
Taifa letu tajiriKiswahili ni lugha ya taifa
Tajiri kwa rasilimali watuTaifa letu tajiri
Tajiri pekee ni Mwenyezzi Mungu Sisi ni kama ATM machine tu!!! Abrianna ulitaka kujua maana ya dhahama? Ni mparaganyo wa vitu vinavyo leta vurugu!!Taifa letu tajiri