Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Jamii inakuona binti mzuri unavyo taabisha wachangiaji...Vurugu haifai kwenye jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamii inakuona binti mzuri unavyo taabisha wachangiaji...Vurugu haifai kwenye jamii
wachangiaji tunajiona ni wale wale wa kila siku ndani ya uzi huu tukumbukane kwenyee zawadiJamii inakuona binti mzuri unavyo taabisha wachangiaji...
ZAWADI Mwanangu chagua wataka nini? Ukitakacho ntakufikishia...wachangiaji tunajiona ni wale wale wa kila siku ndani ya uzi huu tukumbukane kwenyee zawadi
Utanifikishia kweli..?, Nataka maombi ya kuwaombea wabunge wasiotambua wajibu waoZAWADI Mwanangu chagua wataka nini? Ukitakacho ntakufikishia...
Wachangiaji wa damu salama wanatakiwa kuthaminiwaJamii inakuona binti mzuri unavyo taabisha wachangiaji...
Wao wanapenda kusinzia bungeniUtanifikishia kweli..?, Nataka maombi ya kuwaombea wabunge wasiotambua wajibu wao
Bungeni kuna wabunge vilaza sanaWao wanapenda kusinzia bungeni
Bungeni kuna mamboWao wanapenda kusinzia bungeni
Sana kama musiba na msukumaBungeni kuna wabunge vilaza sana
Mambo ya ndani yasipelekwe njeBungeni kuna mambo
Nje ya wapi tena, situmekubariana vya ndani ni vya ndani jamani..Mambo ya ndani yasipelekwe nje
Jamani vya ndani ni siriNje ya wapi tena, situmekubariana vya ndani ni vya ndani jamani..
Siri raha yake uwe na kifua..Jamani vya ndani ni siri
Kifua cha Asthma kinaumiza wengiSiri raha yake uwe na kifua..
Sana hasa watoto
Nini maana ya kuhimiliWengi hawana ufahamu tunaposema siri ni kifua tuna maanisha nini.
Kuhimili mzigo wa siri unaweza..Nini maana ya kuhimili
Unaweza kuwa mwema kwa watu wabayaKuhimili mzigo wa siri unaweza..
Wabaya na wazuri wote nawapenda kwani upendo huwa hauchagui.Unaweza kuwa mwema kwa watu wabaya