Hauchagui kuwa wewe bali Mungu amekupangiaWabaya na wazuri wote nawapenda kwani upendo huwa hauchagui.
Amekupangia nyumba lakini bado huwi muwazi kwake binadamu tuna siri sana.Hauchagui kuwa wewe bali Mungu amekupangia
Sana sana kila mtu anajua anachokitaka moyoniAmekupangia nyumba lakini bado huwi muwazi kwake binadamu tuna siri sana.
Moyoni mwa kila mtu mna siri kubwa mno.Sana sana kila mtu anajua anachokitaka moyoni
Mno hasa siri ya kifoMoyoni mwa kila mtu mna siri kubwa mno.
Kifo kina siri kubwa isiyo na kifani.Mno hasa siri ya kifo
Kifani cha maisha ya binaadamu ni kaburiKifo kina siri kubwa isiyo na kifani.
Kaburi ndiyo safari isiyo na pingamizi lolote kamwe.Kifani cha maisha ya binaadamu ni kaburi
Kamwe usimwamini mleviKaburi ndiyo safari isiyo na pingamizi lolote kamwe.
Mlevi mara nyingi huropoka bila kufikiria.Kamwe usimwamini mlevi
Kufikiria yasiyowezekana ni kujichoshaMlevi mara nyingi huropoka bila kufikiria.
Kujichosha unapo angalia movie za wasanii???Kufikiria yasiyowezekana ni kujichosha
Wasanii wa bongo wana mtindio wa ubongoKujichosha unapo angalia movie za wasanii
Ubongo ni sehemu ya mfumo wa mwli unaoratibu matendo yote yasiyo ya hiariWasanii wa bongo wana mtindio wa ubongo
Hiari ya mtu kufanya apendacho ni uhuruUbongo ni sehemu ya mfumo wa mwli unaoratibu matendo yote yasiyo ya hiari
Uhuru wa fikra ni jambo zuri na pevu.Hiari ya mtu kufanya apendacho ni uhuru
Pevi fikra ni hazinaUhuru wa fikra ni jambo zuri na pevu.
Hazina ya fikra ni jambo la heri.Pevi fikra ni hazina
Heri ya wale waliobahatikaHazina ya fikra ni jambo la heri.
Waliobahatika kujiunga na chuo cha sanaa..Heri ya wale waliobahatika