Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Nakuja nisubir hapo hapo mlangoniUmefunga mlango wakati ninekwambia nakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja nisubir hapo hapo mlangoniUmefunga mlango wakati ninekwambia nakuja
Mlangoni kuna wambea maneno kibaoNakuja nisubir hapo hapo mlangoni
Kibao cha shule kuna mgahawa nikukute hapoMlangoni kuna wambea maneno kibao
Hapo wapiKibao cha shule kuna mgahawa nikukute hapo
Wapi tena kigamboni hiyoHapo wapi
Hiyo msg umetumiwa na naniWapi tena kigamboni hiyo
Nani vileeee aaaah yule best ako HalimaHiyo msg umetumiwa na nani
Nani anazingua huyoHiyo msg umetumiwa na nani
Huyo ndo mkubwa wake na jabulaniNani anazingua huyo
Huyo alikutumia mesejiNani anazingua huyo
Jabulani ni jina la mtuHuyo ndo mkubwa wake na jabulani
Halima ni toto tunduNani vileeee aaaah yule best ako Halima
Tundu sana sijui kwa nn amekua vileHalima ni toto tundu
Vile anasoma boarding schoolTundu sana sijui kwa nn amekua vile
School kule kuna mambo hatari kwenye mabweni yaoVile anasoma boarding school
School of kidongo chekunduVile anasoma boarding school
School of kidongo chekundu
Ngumi ya mwakinyo ilinivunja tayaChekundu kama muhindi akipigwa ngumi
Taya za mashoga ni za plasticNgumi ya mwakinyo ilinivunja taya
Plastic yake inakua laini sana kama pambaTaya za mashoga ni za plastic
Nalog off