Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Tena mwambie asome kwa bidii, asije kufeli mtihaniMitano tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena mwambie asome kwa bidii, asije kufeli mtihaniMitano tena
Mtihani utakua mwepesi tofauti na muhula wa kwanzaTena mwambie asome kwa bidii, asije kufeli mtihani
kwanza wewe umetoka wapi muda huuMtihani utakua mwepesi tofauti na muhula wa kwanza
Huu muda ndo nafika home si unajua mie mlinzikwanza wewe umetoka wapi muda huu
mlinzi wa mali ya umma ni mimi na weweHuu muda ndo nafika home si unajua mie mlinzi
Wewe unalinda mchana mie naingia usiku au umesahaumlinzi wa mali ya umma ni mimi na wewe
umesahau kwamba usiku wanatakiwa kulinda wanaumeWewe unalinda mchana mie naingia usiku au umesahau
Wanaume na wanawake wote tunashirikiana.umesahau kwamba usiku wanatakiwa kulinda wanaume
Wanaume wengi huingia zamu usikuumesahau kwamba usiku wanatakiwa kulinda wanaume
usiku una hatari nyingiWanaume wengi huingia zamu usiku
tunashirikiana kujenga MaishaWanaume na wanawake wote tunashirikiana.
Maisha bila ushirikiano ni magumutunashirikiana kujenga Maisha
Maisha ni popotetunashirikiana kujenga Maisha
Popote pale riziki ipoMaisha ni popote
Ipo hata vichakaniPopote pale riziki ipo
Vichakani mie sijawahIpo hata vichakani
Sijawahi kula ngisiVichakani mie sijawah
Sijawahi kula ngisi
Nini? Wewe utakuwa sio mtu wa PwaniNgisi maana yake nini?
Nini? Wewe utakuwa sio mtu wa Pwani