Mtu mwenyewe mbona kakimbiaWatu gani tena,,mbona hata mimi ni mtu
Kakimbia kwenda kulala labda kesho panapo majaaliwaMtu mwenyewe mbona kakimbia
Kakimbia mbio zaidi ya wakimbiza upepo.Mtu mwenyewe mbona kakimbia
Upepo kwenye ardhi tambarare unatimua vumbiKakimbia mbio zaidi ya wakimbiza upepo.
Vumbi la Congo halifaiUpepo kwenye ardhi tambarare unatimua vumbi
Halifai kabisa, vijana wasipolitumia wanashindwa kujiaminiVumbi la Congo halifai
Kujiamini ni moja ya silaha kubwa ya mafanikioHalifai kabisa, vijana wasipolitumia wanashindwa kujiamini
Mafanikio hayaji kizembezembeKujiamini ni moja ya silaha kubwa ya mafanikio
Kizembezembe mwali akachoropoka himayani
Himayani kutoroka ni uzembe wa mtuKizembezembe mwali akachoropoka himayani
Mtu mla watu
Watu wengi wastaafu hawajalipwa mafao yaoMtu mla watu
Yao ilikua mishahara ila mafao ni kwa ajili ya watawalaWatu wengi wastaafu hawajalipwa mafao yao
Watawala wasiojali hali na mali ya wananchiYao ilikua mishahara ila mafao ni kwa ajili ya watawala
Wananchi wanasherekea siku ya muungano LeoWatawala wasiojali hali na mali ya wananchi
Leo hakuna cha sikukuu wala nini,hela wamesema tugawaneWananchi wanasherekea siku ya muungano Leo
Tugawane hela mlizoiba bandariniLeo hakuna cha sikukuu wala nini,hela wamesema tugawane
Off logging unayofanya inafananishwa na uogaTugawane hela mlizoiba bandarini
Nalog off
Uoga ni adui wa mafanikioOff logging unayofanya inafananishwa na uoga
Mafanikio ni ndoto ya watu wengiUoga ni adui wa mafanikio