Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Kali kauli zake zilikuwa zikituudhiMelody Yao kali
Zikituudhi tunatakiwa kuzipuuzaKali kauli zake zilikuwa zikituudhi
Nalog off
Kuzipuuza kivip wakati zinatesa watu mpaka leoZikituudhi tunatakiwa kuzipuuza
Leo ni siku mpya tuachane na ya nyumaKuzipuuza kivip wakati zinatesa watu mpaka leo
Nyuma mwiko, daima mbeleLeo ni siku mpya tuachane na ya nyuma
Mbele ya nyumba kuna mti wa matundaNyuma mwiko, daima mbele
Matunda ni dawaMbele ya nyumba kuna mti wa matunda
Dawa na ni kinga ya magonjwaMatunda ni dawa
Magonjwa ya kuambukiza ni hatariDawa na ni kinga ya magonjwa
Hatari kwa watoto hususani kipindupindu na covid-19Magonjwa ya kuambukiza ni hatari
Covid 19 wana hatari ya kufukuzwa bungeniHatari kwa watoto hususani kipindupindu na covid-19
Covid 19 wanapigwa danadana bungeni.Hatari kwa watoto hususani kipindupindu na covid-19
Covid 19 wanapigwa danadana bungen
Yao yanawashinda, wanafatilia yetuBungeni ni sehemu ya kutunga sheria lakini wabunge wengi wanatazama masirahi Yao
Yetu tusipoyatunza watayatapanyaYao yanawashinda, wanafatilia yetu
Watayatapanya half maneno yatazagaa mtaaniYetu tusipoyatunza watayatapanya
Mtaani mambo hayaelewekiWatayatapanya half maneno yatazagaa mtaani
Hayaeleweki sijui nini kimetokeaMtaani mambo hayaeleweki
Kimetokea maajabu kijiji kimoja mwalimu na mkewe wajikuta uwanjaniHayaeleweki sijui nini kimetokea
Uwanjani kunani tena jamani,,?Kimetokea maajabu kijiji kimoja mwalimu na mkewe wajikuta uwanjani