Sh tano zamani zetu unatongozea demu na mzigo unapewa na chenji inabakiaKibaba cha mafuta ya kula zamani tuliuziwa sh 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sh tano zamani zetu unatongozea demu na mzigo unapewa na chenji inabakiaKibaba cha mafuta ya kula zamani tuliuziwa sh 5
Inabakia nini sasa? Nipeni kombe langu la ushidi wa hii shindanoSh tano zamani zetu unatongozea demu na mzigo unapewa na chenji inabakia
Shindano bado halijaisha subiria kwanzaInabakia nini sasa? Nipeni kombe langu la ushidi wa hii shindano
Kwanza sikuwa na taarifa kwamba Tz mlikuwa na msiba, ndiyo nimesikia leo hii.Shindano bado halijaisha subiria kwanza
Hii mbona siifahamu?Kwanza sikuwa na taarifa kwamba Tz mlikuwa na msiba, ndiyo nimesikia leo hii.
Siifaham sabab inayomfanya Mama aendelee kumuacha anaejiita Dr GwajimaHii mbona siifahamu?
Sifahamu wapi wanauza naniliyuHii mbona siifahamu?
Nalog off kwa kuwa hakuna mshindaniSifahamu wapi wanauza naniliyu
Nalog off
Mshindani wa Simba Sports Club ni nani?Nalog off kwa kuwa hakuna mshindani
Nani kama kaizer chiefsMshindani wa Simba Sports Club ni nani?
Nalog off
Chiefs ndo mababe wa kusiniNani kama kaizer chiefs
Kusini yupo Namungo fc, kusini zaidi ni bara la AntarcticaChiefs ndo mababe wa kusini
Antárctica ni bara la miyeyushoKusini yupo Namungo fc, kusini zaidi ni bara la Antarctica
Miyeyusho waliotuletea Simba kwa kipigo kile cha mabao manne bila majibu, kwa kweli haitoweza kusahaulika kirahisiAntárctica ni bara la miyeyusho
Nalog off
Kirahisi rahisi hawawezi kurudisha zote nne labda tatuMiyeyusho waliotuletea Simba kwa kipigo kile cha mabao manne bila majibu, kwa kweli haitoweza kusahaulika kirahisi
Tatu bila ndio mpangoKirahisi rahisi hawawezi kurudisha zote nne labda tatu
Tatu bila ndio mpango
Kwanini ugambaniwe? Wenda upo very cheap na sio kwamba una uzuriMpango ndiyo huo kwamba naona ukiwa mtu mzuri unagombana na wengi hivi kwanini
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri ni kuwa Simba Sports Club itashindaKwanini ugambaniwe? Wenda upo very cheap na sio kwamba una uzuri
Itashinda kesi ya uhaini dhidi ya waasi....Uzuri ni kuwa Simba Sports Club itashinda
Nalog off