Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Mkuu wa serikali fulani alifeli Kwa kweliSawa nimekuelewa mkuu
Kweli aise, ila walimsifu ata alipoonesha mapungufuMkuu wa serikali fulani alifeli Kwa kweli
Nalog off
Mapungufu ni nani aliekamilika? Ni heri kutazama mazuri zaidi kuliko mabayaKweli aise, ila walimsifu ata alipoonesha mapungufu
mabaya ya mwendazake ni mengi, ila kwa kuwa kashatangulia mbele ya haki tuyaache.Mapungufu ni nani aliekamilika? Ni heri kutazama mazuri zaidi kuliko mabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuyaache tu,maana yaliyopita si ndwele,tugange yajayo.mabaya ya mwendazake ni mengi, ila kwa kuwa kashatangulia mbele ya haki tuyaache.
Yajayo yanatia matumaini, ingawa suala la katiba mpya ni la muhimu mno kwa watanzania.Tuyaache tu,maana yaliyopita si ndwele,tugange yajayo.
uwazi na ukweli ushaisha, ukisema ukweli unapotea wiki nyumbani kwako hawakuoni.Watanzania hasa wa zama hizi za ukweli na uwazi
Hawakuoni Kwa kuwa watu wasiojulikana watafanya yaouwazi na ukweli ushaisha, ukisema ukweli unapotea wiki nyumbani kwako hawakuoni.
yao yamewashinda tayari, sasa hivi kazi hawana mama kawapiga stopHawakuoni Kwa kuwa watu wasiojulikana watafanya yao
Nalog off
Stop waliyokutana nayo wamebaki wanaduaa!yao yamewashinda tayari, sasa hivi kazi hawana mama kawapiga stop
Wanaduaa na midomo yao wazi Ooooh!!Stop waliyokutana nayo wamebaki wanaduaa!
Nalog off
Ooooh wameshajenga bonge la nyumba.Wanaduaa na midomo yao wazi Ooooh!!
Nyumba ya ghorofa haifugi kuku wala bata mzinga!!Ooooh wameshajenga bonge la nyumba.
Kigogo hawezi kufanikiwa
nyumba ya mgumba haina urithiOoooh wameshajenga bonge la nyumba.
Kigogo hawezi kufanikiwa
Mziga wa nyuki ni balaa ukutane nao wakati wa jua kali.Nyumba ya ghorofa haifugi kuku wala bata mzinga!!
Jua kali linafaa kuzalisha Umeme wa solarMziga wa nyuki ni balaa ukutane nao wakati wa jua kali.
solar power ni nzuri sana vijijini kuliko haya ma umeme ya nguzo.Jua kali linafaa kuzalisha Umeme wa solar
Mwingine anapenda mafiga matatu
Vile natamani kupaa
Mfano ukiwa ndani ya AeroplaneKupaa raha ya kujisika hivyo haina mfano.,