Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Haki imefunikwa chini ya majalada...Mahakamani kuna hukumu zisizo za haki
Majalada yenyewe yamechakaaHaki imefunikwa chino ya majalada...
Yamechakaa kama tambara la deki au mopMajalada yenyewe yamechakaa
Mopao ni jina la kikongoYamechakaa kama tambara la deki au mop
Kikongo au kilingala au kimanyema ?Mopao ni jina la kikongo
Kimanyema ni kigumu sana kujifunza kuongeaKikongo au kilingala au kimanyema ?
Kuongea na watu kuna faidaKimanyema ni kigumu sana kujifunza kuongea
Kuongea kwa upole na taratibu utafahamikaKimanyema ni kigumu sana kujifunza kuongea
Faida utapata ukinifuata..Kuongea na watu kuna faida
faida nyingi sana hasahasa connectionsKuongea na watu kuna faida
Kuongea kwa upole na taratibu utafahamika
Utafahamika hata usipoendekeza kiki!Kuongea kwa upole na taratibu utafahamika
Connection za madili ya mjinifaida nyingi sana hasahasa connections
Kona inayofuata inamteremkoUtafahamika kila kona
ukinifuata mimi pia hakika hutojutaFaida utapata ukinifuata..
Kona ya pili ndio nyumba ya mzeeUtafahamika kila kona
Connections za usafiri wa ndege huitwa TRANSITfaida nyingi sana hasahasa connections
Hutojuta kufanya hiyo biasharaukinifuata mimi pia hakika hutojuta
mjini connections my friends tupeane fursaConnection za madili ya mjini
biashara ni kitegauchumi kizuriHutojuta kufanya hiyo biashara