Maana ya halisi ya ndoa ni upendoMaporini ndiko wajuba tunapata mipunga ya maana.
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ya halisi ya ndoa ni upendoMaporini ndiko wajuba tunapata mipunga ya maana.
Upendo ni njia mojawapo ya kuwafanya wahitaji (yatima) wawe wenye furaha na amani wakati wotee
Wote hapa Ulimwenguni sisi binaadam tunapitaUpendo ni njia mojawapo ya kuwafanya wahitaji (yatima) wawe wenye furaha na amani wakati wotee
Tunapita hapa jirani nasikia harufu ya birianiWote hapa Ulimwenguni sisi binaadam tunapita
Biriani ipate mpishi, mbona utajing'ata vidoleTunapita hapa jirani nasikia harufu ya biriani
Vidole lazima viwe visafiBiriani ipate mpishi, mbona utajing'ata vidole
Visafi vingi vinaogopewa
Vinaogopewa na nan ww acha uogaVisafi vingi vinaogopewa
Uoga kila mtu anaoVinaogopewa na nan ww acha uoga
Anao hasa anapokutana na jambo gumuUoga kila mtu anao
Nalog off
Anao hasa anapokutana na jambo gumu
Yaliyonikuta ni marefu siwezi kuelezaGumu mmmmh...!!,kama yaliyonikuta...
Kueleza ukweli humuweka mtu huru zaidi.Yaliyonikuta ni marefu siwezi kueleza
Zaidi ya wewe, sijasikia habari za wengineKueleza ukweli humuweka mtu huru zaidi.
Wengine akina nan...,? hzo habari nnazo mmZaidi ya wewe, sijasikia habari za wengine
MM kirefu chake ni kitu ganiWengine akina nan...,? hzo habari nnazo mm
Gani ni neno tata sana,usipende kulitumiaMM kirefu chake ni kitu gani
Kulitumia neno ambalo ni tusi ni kinyume cha sheriaGani ni neno tata sana,usipende kulitumia
Sheria ni msumeno unakata huku na huku.Kulitumia neno ambalo ni tusi ni kinyume cha sheria
Huku kunavyuma hvyo hakuwezi katikaSheria ni msumeno unakata huku na huku.