Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Huu ni msimu wa baridiHabari Njema ni kuwa Simba Sports Club inachukua ubingwa msimu huu
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni msimu wa baridiHabari Njema ni kuwa Simba Sports Club inachukua ubingwa msimu huu
Nalog off
Baridi naipenda sana ila kipindi likiwa kali weekend nashindwa kujirushaHuu ni msimu wa baridi
Kujirusha kuna raha yakeBaridi naipenda sana ila kipindi likiwa kali weekend nashindwa kujirusha
Nalog off
Yake na yangu zote kwa pamoja mimi ndiyo mmilikiKujirusha kuna raha yake
Mmiliki mwenye wa nyumba hujiaona sana..Yake na yangu zote kwa pamoja mimi ndiyo mmiliki
Sana tu nakujiona kashayashinda maishaMmiliki mwenye wa nyumba hujiaona sana..
Maisha ni safari ndefu mwisho wake ni kifoSana tu nakujiona kashayashinda maisha
Nalog off
Kifo ni haki ya kila kilicho hai.Maisha ni safari ndefu mwisho wake ni kifo
hai sasa wanalia kwa kumpoteza kiongozi wao shujaa sabayaKifo ni haki ya kila kilicho hai.
Sabaya hafai kuwa shujaa na wala hafanani kuwa hivohai sasa wanalia kwa kumpoteza kiongozi wao shujaa sabaya
Hivo vitunguu vimekisha haribiwa na wadudu.Sabaya hafai kuwa shujaa na wala hafanani kuwa hivo
Wadudu waharibifu inabidi wapuliziwe dawaHivo vitunguu vimekisha haribiwa na wadudu.
Dawa ya moto ni moto
Moto wa kuni mkali kuliko wa GesiDawa ya moto ni moto
Gesi ya mtwara tumepigwaMoto wa kuni mkali kuliko wa Gesi
Gesi ya mtwara tumepigwa
Wanavyotaka wao ndio wanavipitisha.Ilichofanya ni kuona wananchi vilaza na mafala na kutuendesha wanavyotaka
Wanavyotaka wao ndio wanavipitisha.
Havistahili hata kidogoWanavipitisha wakati havistahili