mgosani
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,005
- 1,136
Kidogo kidogo ndiyo mwendoHavistahili hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidogo kidogo ndiyo mwendoHavistahili hata kidogo
Ndiyo mwendo Cha msingi kufikaKidogo kidogo ndiyo mwendo
Kufika bila shuruti ni jambo jema.
Umetandaa pande zote za duniajema halionekani, ubaya nd umetandaa
Dunia imejaa mapambo mazuri yenye kuvutiaUmetandaa pande zote za dunia
Kuvutia kwa kutenda mambo mema ni jambo zuri..Dunia imejaa mapambo mazuri yenye kuvutia
Zuri utakumbukwa mileleKuvutia kwa kutenda mambo mema ni jambo zuri..
Mkazo huo usiwe Lele mamamaadili ni jambo la kutiliwa mkazo
Mama ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMkazo huo usiwe Lele mama
Off ni opposite ya InMama ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Nalog off
In kakuchanga Mzee washa motoOff ni opposite ya In
Moto wa gas au wa kuniIn kakuchanga Mzee washa moto
kuni si kama ukuni
Ukuni unawaka motokuni si kama ukuni
Moto wa kuotea mbaliUkuni unawaka moto
Mbali na nyumbani kuna watu wa aina nyingiMoto wa kuotea mbali
Nyingi ni opposite ya chacheMbali na nyumbani kuna watu wa aina nyingi
Chache nguo hazitoshi kwa safariNyingi ni opposite ya chache
Safari hii escalade hatuzitakiChache nguo hazitoshi kwa safari