Hatuzitaki fesha hizi kwa sababu ni za wiziSafari hii escalade hatuzitaki
Wizi sio mzuri katika jamaiiHatuzitaki fesha hizi kwa sababu ni za wizi
Jamii ya watu hawa inahutaji kuelimishwa
Kuelimishwa kuhusu elimu ya kujikinga na maambukizi mapya ya VVU inahitajikaJamii ya watu hawa inahutaji kuelimishwa
Kuelimishwa kuhusu elimu ya kujikinga na maambukizi mapya ya VVU inahitajika
Mpya nzuri sanaInahitajika ikiwa mpya
Mpya nzuri sana
Jitihada zote zile nilizofanya kwake leo hii kaniona wa kazi gani kweliSana ni neno la kiswahili likiwa na uashilia wa kitu kufanyika kwa jitihada
Kweli Kiongozi, tenda wema uwende zako usingoje shukuraniJitihada zote zile nilizofanya kwake leo hii kaniona wa kazi gani kweli
Unauma kwa mtu ambae anapenda kusifiwaInauma vp endapo nkakwambia we ni mpole na unacheka na kila mtu, kama ni ukweli itauma vp..? Si kila ukweli unauma.
Kusifiwa sana hakufaiUnauma kwa mtu ambae anapenda kusifiwa
Kufai kujiona wajua kila kituKusifiwa sana hakufai
Nalog off
Kitu cha kutisha ni kifoKufai kujiona wajua kila kitu
Kifo hakina hurumaKitu cha kutisha ni kifo
Huruma ya mama haina mfanoKifo hakina huruma
Mfano wa kuigwaHuruma ya mama haina mfano
Kuigwa kwa teknolojia kunaleta maendeleoMfano wa kuigwa
Maendeleo ya nchi huletwa na WazalendoKuigwa kwa teknolojia kunaleta maendeleo
Wazalendo wamekatishwa tamaa na wanasiasaMaendeleo ya nchi huletwa na Wazalendo