Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Yangu kura utaipata na haki itaungwa mkono..Umaskini yulionao unachangiwa na mfumo mbovu, msisahau kuipigia kura mada yangu
Mkono wa serikali ni mrefuYangu kura utaipata na haki itaungwa mkono..
Mrefu sana kama nyoka kutambaa kimya na hung'ata !!Mkono wa serikali ni mrefu
Hung'ata na kuacha maumivu makubwaMrefu sana kama nyoka kutambaa kimya na hung'ata !!
Makubwa tuliyopitia yametufunza elimu na adabu...Hung'ata na kuacha maumivu makubwa
Adabu ya woga haifaiMakubwa tuliyopitia yametufunza elimu na adabu...
Haifai kuwa mbishi bila hoja ya msingiAdabu ya woga haifai
Msingi wa maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii na kujitumaHaifai kuwa mbishi bila hoja ya msingi
Kujituma ni nguvu ya mafanikio ya watu wengi.Msingi wa maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii na kujituma
Watu wengi wenye mafanikio ujituma sana.Kujituma ni nguvu ya mafanikio ya watu wengi.
Sana kwa kufanya kazi kwa bidiiWatu wengi wenye mafanikio ujituma sana.
Bidii wakati mwingine hufanya ukate tamaaSana kwa kufanya kazi kwa bidii
Tamaa mbele mauti nyumaBidii wakati mwingine kufanya ukate tamaa
Nyuma ya pazia yamefichwa mengiTamaa mbele mauti nyuma
Mengi aliacha watoto mapachaNyuma ya pazia yamefichwa mengi
Mapacha watatu band haipo tenaMengi aliacha watoto mapacha
Tena ugomvi ni mkubwaMapacha watatu band haipo tena
Mkubwa ni MUNGU tu hapa Daniani.Tena ugomvi ni mkubwa
Duniani tunapitaMkubwa ni MUNGU tu hapa Daniani.
Tunapita kila kitu kitabakiaDuniani tunapita