El murjeb
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 483
- 2,126
Jamiiforum bado haina watumiaji wengi hapa nchiniJF kirefu chake ni Jamiiforum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamiiforum bado haina watumiaji wengi hapa nchiniJF kirefu chake ni Jamiiforum
Sana kama mwingulu nchembaNchini Tanzania kuna viongozi wa ajabu sana.
wanaJF tafaxhsli kwa heshima zote tusichafue hewa kwa kauli chafu....nchemba ms**ge
Chafu sana ile sehemuwanaJF tafaxhsli kwa heshima zote tusichafue hewa kwa kauli chafu....
Chafu sana ile sehemu
Usafi wa mwili na roho na vitu muhimu sana katika maisha ya binadamuSehemu zinazotuzunguka zinapaswa kuwa katika hali ya usafi
Binadamu wa siku hizi ni wabishi sana linapokuja suala la usafi, haswaa usafi wa mazingira.Usafi wa mwili na roho na vitu muhimu sana katika maisha ya binadamu
Jamani subiri mshindi akitangazwa ndipo shindano litafika tamati.Mwisho wa hili shindano lini jamani...
Tamati haifiki tu maana nimesubiri kwa muda mrefu nitangazwe mimi kama mshindi lakini wapiJamani subiri mshindi akitangazwa ndipo shindano litafika tamati.
Jaman huu uzi urudiwe urudiwee...Tamati haifiki tu maana nimesubiri kwa muda mrefu nitangazwe mimi kama mshindi lakini wapi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Urudiwe wa nini wakati bado upo kwenye muendelezoJaman huu uzi urudiwe urudiwee...
Aah nimechanganyikiwa kidogo, sijui nawaza nin, i think nina sononaUrudiwe wa nini wakati bado upo kwenye muendelezo
Sonona ni nini?Aah nimechanganyikiwa kidogo, sijui nawaza nin, i think nina sonona
sonona sonona ,ni ugonjwa hatari,hatari jamani!nimepotea kitambo huku ,bado tu kufika tamati !!Sonona ni nini?
Tamati itafika pale nitakapoamua au nitakapopenda kwa wakati maalum!!sonona sonona ,ni ugonjwa hatari,hatari jamani!nimepotea kitambo huku ,bado tu kufika tamati !!
Wakati maalumu wa kusali na kumwomba MunguTamati itafika pale nitakapoamua au nitakapopenda kwa wakati maalum!!
Mungu anawaona,anjua nia zao,anawapa fursa/muda wa kutubu madhambi !!Wakati maalumu wa kusali na kumwomba Mungu
Madhambi yakizidi ni kheri uwahi kutubuMungu anawaona,anjua nia zao,anawapa fursa/muda wa kutubu madhambi !!