Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Kitabakia Jina lako daftarini lakini utasahaulika..Tunapita kila kitu kitabakia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitabakia Jina lako daftarini lakini utasahaulika..Tunapita kila kitu kitabakia
Utasahaurika milele.Kitabakia Jina lako daftarini lakini utasahaulika..
Milele haina mwishoUtasahaurika milele.
Milele tumelala fofo bila kujitambua...Utasahaurika milele.
Kujitambua ni hatua ya msingu kwenye maishaMilele tumelala fofo bila kujitambua...
Maisha yamezidi kuwa magumu sana awamu hii ya sits.Kujitambua ni hatua ya msingu kwenye maisha
Awamu hii ya sita sijaielewa kabisaMaisha yamezidi kuwa magumu sana awamu hii ya sits.
Sita ni namba nzuri sana.Maisha yamezidi kuwa magumu sana awamu hii ya sits.
Sana zaidi uzuri wake nini kiasi ushangaee???Sita ni namba nzuri sana.
Ushangae maajabu ya duniaSana zaidi uzuri wake nini kiasi ushangaee???
Dunia hii inatusumbua kila tukiifuata inazingua !!Ushangae maajabu ya dunia
Inazingua kwa sababu imejaa matendo maovuDunia hii inatusumbua kila tukiifuata inazingua !!
Matendo maovu husamehewa mara ya kwanza kwa toba !!Inazingua kwa sababu imejaa matendo maovu
Toba ya kweli huanzia moyoni.Matendo maovu husamehewa mara ya kwanza kwa toba !!
Moyoni mwa watu kuna mengi yamejificha ambayo wakisema wayatoe yaliyo mioyoni mwao hakuna atakaeweza kuaminiToba ya kweli huanzia moyoni.
Kuamini kwenye mambo mema ni jambo zuri.Moyoni mwa watu kuna mengi yamejificha ambayo wakisema wayatoe yaliyo mioyoni mwao hakuna atakaeweza kuamini
Zuri hasa pale linapokuja kwa wakatiKuamini kwenye mambo mema ni jambo zuri.
Wakati sahihi ukifika nitaoaZuri hasa pale linapokuja kwa wakati
Nitaoa mwanamke mrembo sana kutoka hapa hapa JFWakati sahihi ukifika nitaoa
JF kirefu chake ni JamiiforumNitaoa mwanamke mrembo sana kutoka hapa hapa JF