Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yote hujaelewa itabidi uanze upya...Mauno kama yote [emoji23][emoji23][emoji23]
Zaidi ya kutetea hoja dhaifu...Upya wa jambo lolote geni kwako ni lazima uulize usije kukifanya mjuaji ukaaibika zaidi..
Zaidi ya kutetea hoja dhaifu...
CCM imeleta tozo mpya ya ajabu ya miamalaDhaifu ni serikali ya CCM
CCM imeleta tozo mpya ya ajabu ya miamala
Nalog off
Mawakala nao naskia wanakatwaMiamala imepungua sana kwa mawakala
Wanakatwa mkia wale pundamilia ...Mawakala nao naskia wanakatwa
Pundamilia wanavutiaWanakatwa mkia wale pundamilia ...
Pundamilia ndo zebra?Wanakatwa mkia wale pundamilia ...
Zebra Wanavutia kwa Sababu wanaishi kwa makundiPundamilia wanavutia
Makundi ya wannchi kwa itikadi za chama hayaleti matokwo mzuriZebra Wanavutia kwa Sababu wanaishi kwa makundi
.
Makundi ya wannchi kwa itikadi za chama hayaleti matokwo mzuri
Mrembo wa sura ila mbaya wa roho, huyo hafaiMzuri wakati Mwingine sio Mrembo
Mrembo wa sura ila mbaya wa roho, huyo hafai
Watoto wanahitaji uangalizi mkubwaHafai kuwa mke wala Mama kwa Watoto
Watoto wanahitaji uangalizi mkubwa
Siku njema huonekana asubuhiMkubwa katika matendo yao ya kila siku
Siku njema huonekana asubuhi