Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Mateso ni yakujitakia usisingizie ....Asubuhi ndani ya Tanzania ni mateso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mateso ni yakujitakia usisingizie ....Asubuhi ndani ya Tanzania ni mateso
Usisingizie ugumu wa maisha wakati mwaka jana ulichagua jembe na nyundo..
Nyundo ni kifaa imaraUsisingizie ugumu wa maisha wakati mwaka jana ulichagua jembe na nyundo..
Imara kama simbaNyundo ni kifaa imara
Simba ya mwamedi imemuuza miq kwa dau la 2bn..Imara kama simba
2bn ni pesa sa mboga mbili tu kwa tibaijukaSimba ya mwamedi imemuuza miq kwa dau la 2bn..
2bn ni pesa sa mboga mbili tu kwa tibaijuka
mjinga kabisa, bora angenituma nikamnunulie mboga ningebaki na chenji 😀
Buku awamu hii haina thamani tena,mafuta ya kula,sukari bei juu..Chenji ungekula Miaka buku
Juu ya paa la nyumbaBuku awamu hii haina thamani tena,mafuta ya kula,sukari bei juu..
Nyumba yangu ina chumba kimojaJuu ya paa la nyumba
Kimoja kishapasuka, inabidi ubebe kwa umakini sasaNyumba yangu ina chumba kimoja
Nalog off
Sasa hivi ni saa mbili na dakika thelathini na sita asubuhiKimoja kishapasuka, inabidi ubebe kwa umakini sasa
Asubuhi biashara jioni mahesabu!Sasa hivi ni saa mbili na dakika thelathini na sita asubuhi
Nalog off
Basi bhn baada ya kuachwa na yule demu si akaenda kujinyonga ili afe kilichomkuta sasaMahesabu yanakataa kabisa 8/8 hii imedondokea jpili serikali itangaze jtatu mapumziko basi..
Sasa wewe ulipotelea wapiBasi bhn baada ya kuachwa na yule demu si akaenda kujinyonga ili afe kilichomkuta sasa
wap naweza kuwapata nyie wote waremboSasa wewe ulipotelea wapi