Jamiiforums kweli haina mpinzani, umesikika KiongoziMjengoni kumenoga,Mimi ndiye itanibidi niwape JF zawadi Kwa kuwa nimejifunza mengi sana humu jamiiforums
Nalog off
Kiongozi unatakiwa uwe muadilifuJamiiforums kweli haina mpinzani, umesikika Kiongozi
Kiongozi unatakiwa uwe muadilifu
Nalog off
Maarifa madogo yanapoteza malengo yetuMuadilifu na mtafutaji wa maarifa
Yetu machoMaarifa madogo yanapoteza malengo yetu
Nani sasa hakujipanga? Sabrina unanikosea bhana.Yamwkushinda kwa sababu hukujipanga
Bhana hee nilipo muona sokoni alikuwa amechakaa!!Nani sasa hakujipanga? Sabrina unanikosea bhana.
Amechakaa kwa kumbambikiwa kesiBhana hee nilipo muona sokoni alikuwa amechakaa!!
Kesi yenyewe imekua haieleweki.Amechakaa kwa kumbambikiwa kesi
Nalog off
Kesi ya usaliti itakuhusu washawasha...Amechakaa kwa kumbambikiwa kesi
Nalog off
Haieleweki njia ipi ina ahweni ktk kuleta itifaki..Kesi yenyewe imekua haieleweki.
Haieleweki njia ipi ina ahweni ktk kuleta itifaki..
Kipuuzi sana haijawahi kutokeaItifaki ya chama cha CCM ni ya kipuuzi
Kutokea kwake kwenye sherehe ile, nilipata furahaKipuuzi sana haijawahi kutokea
Furaha huleta kichekoKutokea kwake kwenye sherehe ile, nilipata furaha
Furaha huleta kicheko
Kidhihaki kinakuja pale dharau inapotamalakiKicheko chenyewe kisiwe cha kinafiki na kidhadiki
Inapotamalaki dharau nawe unapata gadhabu isiyo na kifaniKidhihaki kinakuja pale dharau inapotamalaki
Isiyo na kifani ghadhabu hiyo hutokea mara nyingi kwasababu hakuna mtu anaependa dharau abadanInapotamalaki dharau nawe unapata gadhabu isiyo na kifani