Mjengoni huko ndiyo hawataki kabisa hiyo habari ila walikua tayari kuibadilisha ili kumuongezea muda wa utawala hayati.pakubwa? Ni majukumu yao kutekeleza matakwa ya wananchi wao maana ndio wamewaweka mjengoni
Hayati ndiye aliyetufikisha hapa tulipoMjengoni huko ndiyo hawataki kabisa hiyo habari ila walikua tayari kuibadilisha ili kumuongezea muda wa utawala hayati.
Hapa tulipo ni pabayaHayati ndiye aliyetufikisha hapa tulipo
Pabaya ni motoni tuHapa tulipo ni pabaya
Motoni tu kwa wale wapenda sifaPabaya ni motoni tu
Sifa na utukufu apewe MuumbaMotoni tu kwa wale wapenda sifa
Muumba wangu nampendaSifa na utukufu apewe Muumba
Nalog off halafu na login tenaMuumba wangu nampenda
Nalog off
Tena kwa kasi ya ajabuNalog off halafu na login tena
Ajabu eti watu bado wanaipenda yanga!Tena kwa kasi ya ajabu
Yanga imesajili wachezaji wazuri pamoja na manaraAjabu eti watu bado wanaipenda yanga!
Nalog off
Manara ndiyo mnara unao ng'ara sakafuni...Yanga imesajili wachezaji wazuri pamoja na manara
Sakafuni kuna jamvi mkuu karibu tunywe chaiManara ndiyo mnara unao ng'ara sakafuni...
Chai nimekunywa nyumbani nashukuru kwa ukarimu...Sakafuni kuna jamvi mkuu karibu tunywe chai
Ukarimu wako kwangu ni mkubwa brotherChai nimekunywa nyumbani nashukuru kwa ukarimu...
Chai ya maziwa mi naipendaga Sana! Bei ya maziwa ya kopo Nido NI tsh .ngapi wadau?Sakafuni kuna jamvi mkuu karibu tunywe chai
Wadau wamefunga maduka tangu saa mbili usikuChai ya maziwa mi naipendaga Sana! Bei ya maziwa ya kopo Nido NI tsh .ngapi wadau?
Usiku huu uwe wa kheri na amaniWadau wamefunga maduka tangu saa mbili usiku
Amani ya Mungu na utulivu uwe naweU
Usiku huu uwe wa kheri na amani
Nawe ulale na Mungu usiku huuAmani ya Mungu na utulivu uwe nawe