Hadrianus
JF-Expert Member
- Feb 19, 2020
- 2,112
- 5,229
Mjengoni huko ndiyo hawataki kabisa hiyo habari ila walikua tayari kuibadilisha ili kumuongezea muda wa utawala hayati.pakubwa? Ni majukumu yao kutekeleza matakwa ya wananchi wao maana ndio wamewaweka mjengoni