supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Kali ni mo energyAzam energy na Mo energy, ipi ni kali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kali ni mo energyAzam energy na Mo energy, ipi ni kali?
Mo energy ni tamu balaaKali ni mo energy
Balaa kama njaaMo energy ni tamu balaa
Balaa lake ukila na biriani kukuMo energy ni tamu balaa
Kuku wa kienyeji ndio wazuri kwa kula nyamaBalaa lake ukila na biriani kuku
Njaa imekushika halafu pembeni huna pesa ya kununua biriani kukuBalaa kama njaa
Nyama yao ni tamu tofauti na kuku wengineKuku wa kienyeji ndio wazuri kwa kula nyama
Wengine hatujamk bado tumelalaNyama yao ni tamu tofauti na kuku wengine
Tumelala na stress na tumeamka freshWengine hatujamk bado tumelala
Fresh Air inatupq starter ahsubuhi hiiTumelala na stress na tumeamka fresh
Asubuhi hii tunamshukuru Mungu kwa kutuamsha salama tukiwa na uzima na afyaFresh Air inatupq starter ahsubuhi hii
Afya ndio utajiri wa kwanzaAsubuhi hii tunamshukuru Mungu kwa kutuamsha salama tukiwa na uzima na afya
Kwanza afya ni lazima ujitunze, ujipende, ule vizuri na kufanya mazoeziAfya ndio utajiri wa kwanza
Mazoefu huleta muonekano bora na huimarisha afya ya.mwili pia husaidia mwili kupigana na magonjwa nyemeleziKwanza afya ni lazima ujitunze, ujipende, ule vizuri na kufanya mazoezi
Magonjwa nyemelezi kuyaepuka ni muhimu kutokana na aina ya mfumo wako wa maishaMazoefu huleta muonekano bora na huimarisha afya ya.mwili pia husaidia mwili kupigana na magonjwa nyemelezi
Lishe bora, mazoezi na mazingira safi inawezekanaMagonjwa nyemelezi kuyaepuka ni muhimu kutokana na aina ya mfumo wako wa maisha
Inawezekana kula vyakula vyenye tija, mboga mboga na matundaLishe bora, mazoezi na mazingira safi inawezekana
Matunda ni bora kwa afya maana hayana mchanganyiko wa kemikali za viwandaniInawezekana kula vyakula vyenye tija, mboga mboga na matunda
Viwandani wanatengeneza vyakula kulingana na sokoMatunda ni bora kwa afya maana hayana mchanganyiko wa kemikali za viwandani
Soko limevamiwa na kuharibiwa na wenye bidhaa mbovuViwandani wanatengeneza vyakula kulingana na soko