supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Bidhaa mbovu, huduma mbovu, vinywaji vyenye sumu ndio vinatusababishia matatizoSoko limevamiwa na kuharibiwa na wenye bidhaa mbovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bidhaa mbovu, huduma mbovu, vinywaji vyenye sumu ndio vinatusababishia matatizoSoko limevamiwa na kuharibiwa na wenye bidhaa mbovu
Matatizo ya kiafya na hii corona Mbona kidogo tu tunaishaBidhaa mbovu, huduma mbovu, vinywaji vyenye sumu ndio vinatusababishia matatizo
Tunaisha sababu ya kutojali afya zetu na kupuuzia ushauri wa wataalamuMatatizo ya kiafya na hii corona Mbona kidogo tu tunaisha
Wataalamu wetu nao hawana msimamo wana badilika kama vinyongaTunaisha sababu ya kutojali afya zetu na kupuuzia ushauri wa wataalamu
Vinyonga waliobobea ni kama manara.Wataalamu wetu nao hawana msimamo wana badilika kama vinyonga
Vinyonga waliobobea ni kama manara.
Poa tu..kumsikiliza baadae potezea...Manara haoni aibu kabisa. Yani mashabiki wa Yanga tunajua kabisa kama anatuchukua ila poa tu
Poa tu..kumsikiliza baadae potezea...
Pamoja bila kutengana ni upendoPotezea mambo yake ya zamani na msimbazi, kwa sasa tupo pamoja
Pamoja bila kutengana ni upendo
Kitu cha kushangaza Umeme unalata lakini taa zinawaka..Upendo ndio kila kitu
Kitu cha kushangaza Umeme unalata lakini taa zinawaka..
Mkuu wa shule alikua mkali sana nakumbukaZinaanzaje kuwaka mkuu?
Mkuu wa shule alikua mkali sana nakumbuka
Shule zilikua kipindi cha zamani siku hizi hawachapwi wadigitaliNakumbuka alinichapa bakora 5 mbele ya wenzangu shule
Shule zilikua kipindi cha zamani siku hizi hawachapwi wadigitali
Wazazi wao hawataki kusikia kuchaowa kwa watoto wao, ni hatariWadigitali kweli maana ukimchapa mtoto wa mtu, lazima ugombane na wazazi
Hatari zaidi ni kwamba jamii inakosa staha na tabia njema.Wazazi wao hawataki kusikia kuchaowa kwa watoto wao, ni hatari
Tabia njema ni hulka yenye sifaHatari zaidi ni kwamba jamii inakosa staha na tabia njema.
Sifa zingine hazijengi bali zinabomoaTabia njema ni hulka yenye sifa