Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Sifa zingine hazijengi bali zinabomoa
Kufungia kuendelezwe hata hizi nyimbo za kizazi cha nyoka za wavaa vinguo vya ajabuZinabomoa maadili hizi picha za ngono, ndio maana serikali wameamua kufungia
Ajabu watakuja juu na mapovu yaoKufungia kuendelezwe hata hizi nyimbo za kizazi cha nyoka za wavaa vinguo vya ajabu
Avatar yangu inaendana na jina la njano njanoYaone macho yako bwana yellow eyes hapo kwenye avatar
Njano na Kijani, rangi hizo zimo kwenye Bendera ya TanzaniaAvatar yangu inaendana na jina la njano njano
Tanzania ni tajiriNjano na Kijani, rangi hizo zimo kwenye Bendera ya Tanzania
Tajiri mara nyingi huwa ni bahiriTanzania ni tajiri
Bahiri sio sahihi, sahihi BahiliTajiri mara nyingi huwa ni bahiri
Bahili eeee! Kweli kiswahili ni kibantu!Bahiri sio sahihi, sahihi Bahili
Kibantu ni nini nipeni maanaBahili eeee! Kweli kiswahili ni kibantu!
Kibantu ni nini nipeni maana
Wataalamu wa anga hakuna nchiniMaana yake ni mpaka uwapate wataalamu
nchini kumejaa ufisadiWataalamu wa anga hakuna nchini
Ufisadi umekua tatizo sugunchini kumejaa ufisadi
Nchi inakabiliwa na kilio kukukwa cha wananch juu ya tozo zinazo wekwa na serikali iliyopo madalakaniWataalamu wa anga hakuna nchini
Serikali iliyopo madarakani haina vyanzo vya pesa zaidi ya tozoNchi inakabiliwa na kilio kukukwa cha wananch juu ya tozo zinazo wekwa na serikali iliyopo madalakani
Tozo ni tatizo kubwa kwa wanyongeSerikali iliyopo madarakani haina vyanzo vya pesa zaidi ya tozo
tozo ni pasua kichwa Kwa wananchiSerikali iliyopo madarakani haina vyanzo vya pesa zaidi ya tozo
Wananchi tunataka Ajiratozo ni pasua kichwa Kwa wananchi