bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Sio kweli, we bia tamMkwe kala shavu,au sio!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, we bia tamMkwe kala shavu,au sio!
Tamu kama asaliSio kweli, we bia tam
Asali mbichiTamu kama asali
Mbichi neno hili unaweza kulitamka mbichi, mfano wake Ndizi mbichi, na pia unaweza kulitamka mbichi, mfano wake Muhogo mbichiAsali mbichi
Muhogo mbichi umeliwa Jang'ombeMbichi neno hili unaweza kulitamka mbichi, mfano wake Ndizi mbichi, na pia unaweza kulitamka mbichi, mfano wake Muhogo mbichi
Jang'ombe, Bububu, au Michenzani?Muhogo mbichi umeliwa Jang'ombe
Nalog off
Michenzan kuna machenzaJang'ombe, Bububu, au Michenzani?
Machenza matamu sanaMichenzan kuna machenza
Matamu sana kuliko malimaoMachenza matamu sana
Limao ni chachuMatamu sana kuliko malimao
Nalog off
Ni chachu kama ndimuLimao ni chachu
Ndimu ni tunda lenye nguvu ya tiba na kiburudisho...Ni chachu kama ndimu
Nalog off
Kiburudisho chá chini nakipenda sanaNdimu ni tunda lenye nguvu ya tiba na kiburudisho...
Nakipenda sana kitendea kazi changu.Kiburudisho chá chini nakipenda sana
Nalog off
Changu nimeazimishaNakipenda sana kitendea kazi changu.
Changu ni samakiNakipenda sana kitendea kazi changu.
Samaki waliokaangwa ni watamu sana.Changu ni samaki
Sokoni napo hapaelewekiBiashara inashemiri na kustawii maeneo ya Sokoni..
Hapaeleweki kwa sababu huna helaSokoni napo hapaeleweki
Hela inafanya watu wanauza utu waoHapaeleweki kwa sababu huna hela