Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,172
Wao wanauza ila wewe ndo mnunuzi.Hela inafanya watu wanauza utu wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wanauza ila wewe ndo mnunuzi.Hela inafanya watu wanauza utu wao
Mnunuzi anaweza kuwa mchuuziiWao wanauza ila wewe ndo mnunuzi.
Mchuuzi ni mtu wa aina ganiMnunuzi anaweza kuwa mchuuzii
Gani na ghani ni kitu kimoja?Mchuuzi ni mtu wa aina gani
Kimoja ina maana kinafanana au kipo sawasawaGani na ghani ni kitu kimoja?
Sawasawa simba kudroo na biasharaKimoja ina maana kinafanana au kipo sawasawa
Biashara ni neno la kiarabu ina maaana hii "Bei na manunuzi*Sawasawa simba kudroo na biashara
Biashara ya mitumbaSawasawa simba kudroo na biashara
Mitumba imeleta ajira ya kutembea na bidhaa mkononi...Biashara ya mitumba
Mkononi sina tattoos bali nina alama ya nduiMitumba imeleta ajira ya kutembea na bidhaa mkononi...
Ndui ulikua ni ugonjwa hatari zaidi ya Corona.Mkononi sina tattoos bali nina alama ya ndui
Corona tunaikataa chanjo.ila ya ndui tulidungwa hatujawa mazombi haha maajabu haya taisha AfrikaNdui ulikua ni ugonjwa hatari zaidi ya Corona.
Afrika ni bara kuu lenye rasilami lukuki kupindukia...Corona tunaikataa chanjo.ila ya ndui tulidungwa hatujawa mazombi haha maajabu haya taisha Afrika
Kupindukia kwa ujinga Afrika ndio msingi imara wa umasikiniAfrika ni bara kuu lenye rasilami lukuki kupindukia...
Umaskini huo ulisababishwa na mkoloniKupindukia kwa ujinga Afrika ndio msingi imara wa umasikini
Mkoloni wa kwanza Tanganyika ni nani?Umaskini huo ulisababishwa na mkoloni
Nani aliyekudanganya Sammy1961 kuwa umasikini na ujinga ulisababishwa na Mr Coloni? Hebu jitafakari na utumie macho kwa kutazama!!Mkoloni wa kwanza Tanganyika ni nani?
Nani atamfunga paka kengeleMkoloni wa kwanza Tanganyika ni nani?
Kengele ni kifaa chenye sauti ya kuamsha !Nani atamfunga paka kengele
Kuamsha hisia za mtu na kumuacha kavu ni unyama au uuajiKengele ni kifaa chenye sauti ya kuamsha !