Hamumu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 1,439
- 3,587
Kikomo huja pale unapokata tamaa ya kuendeleaUvumilivu nao una kikomo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikomo huja pale unapokata tamaa ya kuendeleaUvumilivu nao una kikomo.
Kuendelea bila matarajio inataka moyo kwa sisi vijana wa kisasa.Kikomo huja pale unapokata tamaa ya kuendelea
Kisasa au kisiasaKuendelea bila matarajio inataka moyo kwa sisi vijana wa kisasa.
Kisiasa siwezi kujiingiza huko nawaachia nyie.Kisasa au kisiasa
Nyie bhana hamueleweki...Kisiasa siwezi kujiingiza huko nawaachia nyie.
Hamueleweki na hamna msimamoNyie bhana hamueleweki...
Msimamo upi unautakaHamueleweki na hamna msimamo
Unautaka msimamo wa naniMsimamo upi unautaka
Nani anaeweza kutuvusha ng'ambo ya mtoUnautaka msimamo wa nani
Mto wenye mamba wengi hakuna wa kukuvusha.Nani anaeweza kutuvusha ng'ambo ya mto
Kukuvusha kwenye magumu ni Mungu pekee anawezaMto wenye mamba wengi hakuna wa kukuvusha.
Anaweza pia kukupa amani ya moyoKukuvusha kwenye magumu ni Mungu pekee anaweza
Moyo wa mtu ni kichakaAnaweza pia kukupa amani ya moyo
Kichaka cha michepukoMoyo wa mtu ni kichaka
Michepuko wanajua sana mapenziKichaka cha michepuko
Mapenzi yao.yana maigizo.kinoma noma usijisahau mchepuko haminikiMichepuko wanajua sana mapenzi
Haaminiki Kiongozi kigeugeuMapenzi yao.yana maigizo.kinoma noma usijisahau mchepuko haminiki
Kigeugeu sio mtu mzuri na hatufaiHaaminiki Kiongozi kigeugeu
Hatufai mtu muongo katika jamiiKigeugeu sio mtu mzuri na hatufai
Kichaka cha michepuko