Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,207
- 2,981
Nji nji ndio kitu gani umeandika na wewe??Hazikaribishi na hazina utu
roho mbaya tuu ka njii njii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nji nji ndio kitu gani umeandika na wewe??Hazikaribishi na hazina utu
roho mbaya tuu ka njii njii
Wewe kumbe hujaelewa kama mimiNji nji ndio kitu gani umeandika na wewe??
Mimi amenichanganyia mafile kichwani kabisaWewe kumbe hujalalawa kama mimi
Mimi amenichanganyia mafile kichwani kabisa
Limesha tayari?? Ona sasa alivyotutia hasara ya tumboKabisa hata mimi maana tulikuwa tunaongea kuhusu pilau, angalia sasa mpaka limeisha.
Tumbo lenyewe limejaa gesiLimesha tayari?? Ona sasa alivyotutia hasara ya tumbo
Gesi imepanda beiTumbo lenyewe limejaa gesi
Gesi imepanda bei
Sasa sijajua kwakweli, mimi natumia mkaaBei imefikia shilingi ngapi kwa sasa?
Mkaa ni nao wakati mwingine unakua juu haswa kipindi hiki cha mvuaSasa sijajua kwakweli, mimi natumia mkaa
Mkaa ni nao wakati mwingine unakua juu haswa kipindi hiki cha mvua
Inatuchanganya zaidi sisi wakulima maana hatuelewi kama tutapata kitu au ndio bilabilaMvua mara inyeshe leo kesho iache, inatuchanganya.
Inatuchanganya zaidi sisi wakulima maana hatuelewi kama tutapata kitu au ndio bilabila
Hajaaga ndio maana wala msingemuaga kwa uzuricabo ameondoka hajaaga
Uzuri wake hauna mfanoHajaaga ndio maana wala msingemuaga kwa uzuri
Mfano wake upo bana, au unataka niutoe?Uzuri wake hauna mfano
Mfano wake upo bana, au unataka niutoe?
Mimi kwa kweli sijakuelewa hapoNiutoe wapi uongo mimi!