Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,207
- 2,981
Ubishoo kwa mwanaume ukizidi sana unakua kama wakike kabisaKazi hazitaki ubishoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubishoo kwa mwanaume ukizidi sana unakua kama wakike kabisaKazi hazitaki ubishoo
Ubishoo kwa mwanaume ukizidi sana unakua kama wakike kabisa
Wenyewe wanakauli mbiu yao kua "wanaweza"Kabisa, ila huwa sipendelei kulinganisha uwezo wa wanaume dhidi ya wanawake. Kuna wanawake wanachapa kazi hatari kuliko wanaume wenyewe.
Wanaweza kama wakipewa fursaWenyewe wanakauli mbiu yao kua "wanaweza"
Fursa zimejaa hivi mnashindwaje kujinyakulia??Wanaweza kama wakipewa fursa
Kujinyakulia mizawadi ya krisimasi bonyeza linki kwenye simu yakoFursa zimejaa hivi mnashindwaje kujinyakulia??
Yako inaweza kufanya hiyo muamala?? Simu yangu imeshindwaKujinyakulia mizawadi ya krisimasi bonyeza linki kwenye simu yako
Imeshindwa kuendana na matakwa ya kisheriaYako inaweza kufanya hiyo muamala?? Simu yangu imeshindwa
Kisheria huniwezi, huniwezi kiuchawi na huniwezi kwa loloteImeshindwa kuendana na matakwa ya kisheria
Lolote lawezekana chini ya juaKisheria huniwezi, huniwezi kiuchawi na huniwezi kwa lolote
Jua lenyewe linaanza kufunikwa na mawingu hivyo hatutaliona, labda chini ya angaLolote lawezekana chini ya jua
Chini ya anga kuna mbinguJua lenyewe linaanza kufunikwa na mawingu hivyo hatutaliona, labda chini ya anga
Muumba alipoumba akasema vyote ni vyemaMbingu na anga ni kazi yake Muumba.
Ni vyema na vyapendeza, ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya sabaMuumba alipoumba akasema vyote ni vyema
Saba ndio namba ya ukamilifu wa kuumba kwa Mungu, maana baada ya hapo alipumzikaNi vyema na vyapendeza, ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya saba
Alipumzika akampa mwanadamu uhuru wa kutawala viumbe vyoteSaba ndio namba ya ukamilifu wa kuumba kwa Mungu, maana baada ya hapo alipumzika
Vyote alivyombiumba Mungu mwanadamu alikua na mamlaka ya kuvitawalaAlipumzika akampa mwanadamu uhuru wa kutawala viumbe vyote
Kuvitawala kwa akili na hekima kama alivyoagiza MuumbaVyote alivyombiumba Mungu mwanadamu alikua na mamlaka ya kuvitawala
Muumba akampa Adamu mke baada ya kuona amekaa haki ya upweke katika bustani ya EdenKuvitawala kwa akili na hekima kama alivyoagiza Muumba