Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Mimi kwa kweli sijakuelewa hapo
Akili imeshajaa vitu mkuu si unajua weekend hiiHapo umekaza kichwa tu, hebu tuliza akili
Akili imeshajaa vitu mkuu si unajua weekend hii
Tabata kuna mambo shazi mzee hapo, umejinyakulia nini na wewe hapo maeneo mkuu??Hii weekend imeanza kuwaka mapema sana maeneo ya tabata
Tabata kuna mambo shazi mzee hapo, umejinyakulia nini na wewe hapo maeneo mkuu??
Familia ndio kila kitu, hitajidi kuizingatia sana aiseeMkuu kwa leo nimepita tu, it has been a long day.. ni muda wa kujumuika na familia.
Familia ndio kila kitu, hitajidi kuizingatia sana aisee
Sana sana saaaanaAisee umenena point sana
Saaaana, yaani sana ulivyoivutaSana sana saaaana
Ulivyoivuta imekua kama unazidisha chumviSaaaana, yaani sana ulivyoivuta
Chumvi ikizidi sana kwenye chakula ni hatari kwa afyaUlivyoivuta imekua kama unazidisha chumvi
Afya ni kitu Cha msingiChumvi ikizidi sana kwenye chakula ni hatari kwa afya
Msingi Mbovu wa elimu hauimarishi taaluma.Afya ni kitu Cha msingi
Taaluma yenyewe imedorola siku hizi!Msingi Mbovu wa elimu hauimarishi taaluma.
Hizi ni dalili za umaskini, ujinga na maradhiTaaluma yenyewe imedorola siku hizi!
Hizi ni dalili za umaskini, ujinga na maradhi
Kuiga maisha ambayo yapo nje wa uwezo wao inawaponzaMaradhi makubwa ni ulimbukeni. Vijana wengi wanapenda sana maisha ya kuiga.
Inawaponza na kuwatesa sana lakini kujirekebisha hawatakiKuiga maisha ambayo yapo nje wa uwezo wao inawaponza
Hawataki kwa sababu hawajajengewa misingi ya kufanya kaziInawaponza na kuwatesa sana lakini kujirekebisha hawataki
Kazi hazitaki ubishooHawataki kwa sababu hawajajengewa misingi ya kufanya kazi