SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Nao si ndo Sasa au?Sema ndio tushafungwa nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nao si ndo Sasa au?Sema ndio tushafungwa nao
Kuna now na naoNao si ndo Sasa au?
Nao si ni pronunciation ya NOWKuna now na nao
Now nimekumbuka wimbo ule wenye maneno yasemayo mkulima kala mbegu anataka kutuua njaa...Nao si ni pronunciation ya NOW
Njaa inasababishwa na Enzymes fulani pindi mwili ukiwa hauna chakula/Glucose ya kutosha mwilini. Pindi ukifa hao Enzymes wanaanza kutafuna tumboNow nimekumbuka wimbo ule wenye maneno yasemayo mkulima kala mbegu anataka kutuua njaa...
Tumbo la mwanamke mjamzito lina utamu wake kulitazamaNjaa inasababishwa na Enzymes fulani pindi mwili ukiwa hauna chakula/Glucose ya kutosha mwilini. Pindi ukifa hao Enzymes wanaanza kutafuna tumbo
Kulitazama kuna utamu??Tumbo la mwanamke mjamzito lina utamu wake kulitazama
Kulitazama tumbo la mwanamke mjamzito kama sio mkeo au wewe sio daktari hayo ni.matumizi mabaya ya macho. Utaitwa mchawiTumbo la mwanamke mjamzito lina utamu wake kulitazama
Mchawi hana adabuKulitazama tumbo la mwanamke mjamzito kama sio mkeo au wewe sio daktari hayo ni.matumizi mabaya ya macho. Utaitwa mchawi
Ni kama kumuita paka pusi huku matamshi yakiendana na jina la kitu kingineNao si ni pronunciation ya NOW
Na hawezi kuwa na adabu hata siku mojaMchawi hana adabu
Siku moja nitakwenda kwa bibiNa hawezi kuwa na adabu hata siku moja
Tutakutana hukoSiku moja nitakwenda kwa bibi
Huko kwenye Mitandao kuna vitukoTutakutana huko
HaswaaHuko kwenye Mitandao kuna vituko
Haswaa umepatiaHaswaa
Ujue ilikua imebakia lisaa limoja nipate zawadi yanguHaswaa umepatia
Zawadi yangu inabidi nipewe tu maana mimi ndio mshindiUjue ilikua imebakia lisaa limoja nipate zawadi yangu
HaiwezekaniZawadi yangu inabidi nipewe tu maana mimi ndio mshindi
Haiwezekani uamini kuwa Mungu yupo halafu useme hakuna Uchawi wakati vitabu vyote vinavyomzungumzia huyo Mungu navyo vinaongelea wachawi na uchawiHaiwezekani