Wa mwisho ndiyo mshindi

Juhudi yangu katika kumpenda baba mtumishi Pep inaongezeka siku hadi siku.
Siku zinaenda kasi sana yaani ni juzi tu tukitoka shule tunashinda pale Posta ya Zamani tunakunywa kahawa mpaka saa 3 usiku halafu tukifika nyumbani tunadai usafiri mgumu,,, leo mimi ndo dogo wa Primary ananipanga 😁😁 kweli hamna jipya duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…