Wa mwisho ndiyo mshindi

"Wangu" ni jina la wimbo wa Lady Jadee aliomshirikisha Mr Blue, ilikuwa mwaka 2013.
Mwaka 2013 mashabiki wa muziki wa Hip Hop nchini tulimpoteza rapper Langa Kileo aka Lyrically And Naturally Gifted African.

Langa aliwahi kuwa member wa kundi la 'wakilisha' lililowahi kushinda tuzo ya 'Tanzania Pop Stars' likiwa na members wengine wawili, Sarah Kaisi na Witness.

Hii ilikua mwaka mmoja tu tangu tumpoteze rapper bora wa muda wote kuwahi kutokea Tanzania na nchi za maziwa makuu, Alberto Mangweha aka Ngwair.

Iendelee kupumzika kwa amani, hii miamba.
 
Hii miamba hususani Albert Mangwea aliimba wimbo mkali ajabu unaenda kwa jina la CNN akiwa na Fid Q.

Vipi baba mtumishi Pep nasema uongo?
 
Hii miamba hususani Albert Mangwea aliimba wimbo mkali ajabu unaenda kwa jina la CNN akiwa na Fid Q.

Vipi baba mtumishi Pep nasema uongo?
Uongo hakuna hapo mama mtumishi.

Fareed Qubanda anakiri Alberto ndo rapper pekee aliyewahi kumfanya aandike upya mistari.

Hii ni baada ya yeye kuskia verses za Alberto za kwenye CNN, akaona mistari aliyoandika yeye ni mepesi mno.

Akachana karatasi, akaandika upya mistari ambayo iliondokea kuja kuwa lyrics kali sana kutoka kwa Fareed.

"If you think small, you remain small for life", moja kati ya mstari wa Fareed kwenye CNN.

Then kuna ile beat, nadhani ile ni moja kati ya beats kali zaidi kuwahi kutengenezwa na mdachi Paulo Majani.
 
Majani pfunk ni producer mzuri ninayemkubali katika mziki wa hiphop bongo.


Ukitoa nyimbo za kitumishi,
Nyimbo nyingine ambazo huwa nasikiliza ni hiphop.
Nikuchanie verse kidogo baba mtumishi???[emoji1787]

...............
Mdau MalcolM XII ameniuliza kama nilishawahi kuwaza kuonana nawe Baba mtumishi .
Naomba kwa niaba yangu umpe jibu lake.
 
Jibu lake litaibua mengi JF
 
Jibu la mkuu MalcolM XII ni hili.

Sisi hatuwazi kuonana tu, ila tunawaza kwamba tukionana hatutakua apart tena.

___________________

Mistari ya zamani ya hiphop ilikua mizuri sana. Nina folder langu hapa la Old is gold.

Tukionana tutaliskiliza kwa pamoja mama mtumishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…