Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mchana kutwa nammiss nimpendaye
Nimpendaye ni wewe tu, I feel...

Atubariki Amen...
Na atulinde Amen...
Atuongoze Amen...
Milele yote Amen...
Wote tuseme Amen...

Unadhani sikufai...
Leo wameshangaa, ni siku yetu my baby...
Ndoto imekuwa, hata familia wana furahii my baby...
Vile umeniwahi, wote wanigai shingoni kama tai...
Taii taii ennh...
Na leo najidaii, heshima ulionipa ya kuwa mpenzi wako milele...
Daimaaa mamaa wee...
Takulindaa, mamama weee...
Sina sababu, mama weeee...
Yakukutenda...
Moyo wangu ni wako...
Nina kukabidhi pekeakoo, weweee...
Fungua wa kwako, nifurahie pendo lako...
Nahisia zangu zakuhitaji, uingiee moyooni...
Nawe uwe mwanga wangu kumulika, unitoee gizani...
Kwa sababu ni, niweee eehh eehh tu...

Nimpendaye, ni wewe ennh tu...
Ohh... daily
Kwa sababu ni wewe wewe tu...
Nimpendaye ni wewe wewe tu... wifey
Atubariki Amen...
Na atulinde Amen...
Atuongoze Amen...
Milele yote Amen...
Wote tuseme Amen...

Kiongozi Pep mistari hiyo ni kwa niaba yako
 
Yako mistari nimeipenda
 
Back
Top Bottom