Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Padre aliongoza misa takatifu kanisaniMoyoni nimembeba Padre.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Padre aliongoza misa takatifu kanisaniMoyoni nimembeba Padre.
Kanisani kwa Saint AnnePadre aliongoza misa takatifu kanisani
Saint Anne anawatakieni siku njemaKanisani kwa Saint Anne
Saint Anne anawatakieni siku njema
Sana sio nzuri...kiasi is much betterNjema sana
Tukio letu litakuwa la kipekee.Sana sio nzuri...kiasi is much better
Mama mtumishi umetisha kwenye hizi anchor text zako.
Wacha namie niige, Salute 🙌
Mkuu HARUFU umechora mno hii mistari, itapendeza ukiwa MC siku ya tukio 😅
Kipekee niatapenda mtualike wajubaTukio letu litakuwa la kipekee.
Wajuba mtaalikwa.Kipekee niatapenda mtualike wajuba
Humo ukumbini kutakua na mengi ya kuburudisha siku hiyo, aki siwezi kukosaWajuba mtaalikwa.
Lakini pia mnaweza jipatia wenza wenu humo humo tukioni ati!
Imagine, Lenie atakuepo, Skylar, Michelle98 na Karucee just to name a few nao watakuepo.
Wataweza kutoa miongozo mbalimbali 'mkae humo'
Kukosa litakuwa n kosa la jinaiHumo ukumbini kutakua na mengi ya kuburudisha siku hiyo, aki siwezi kukosa
Jinai haijawahi kumuacha mtu salama hasa kipindi hiki cha Sikukuu.Kukosa litakuwa n kosa la jinai
Sikukuu ikukute umzima wa afya na kidogo mfukoni uwe na kiasi cha kukufanya ufurahie.Jinai haijawahi kumuacha mtu salama hasa kipindi hiki cha Sikukuu.
Kuheshimiana na kuchukuliana ndio msingi wa maishaNeno likiwa jema linadumisha kuheshimiana
Maisha yetu tupendane maana ni.mafupiKuheshimiana na kuchukuliana ndio msingi wa maisha
...mafupi, madogo na yaliyojaa kama kimba la asubuhiMaisha yetu tupendane maana ni.mafupi
Asubuhi mchana na jioni nalimtafuta mpenzi wa roho yangu...mafupi, madogo na yaliyojaa kama kimba la asubuhi
Nalimtafuta mpenzi wa roho yangu, nalimtafuta bila kumpata...Asubuhi mchana na jioni nalimtafuta mpenzi wa roho yangu