Wa mwisho ndiyo mshindi

Ninashangaa hata mimi namna Mungu amekua mwema kwetu. Nabubujikwa na furaha sana kwamba umeweza kusonga mbele
[emoji847]Mbele tunasonga kama injili.
I was passing through your past comments😘

"Wakati tulionao si wa kuomboleza tena,
Siku za kilio zimepita zimekwisha aahh,
Sasa twasonga tena
mbele kwa kazi yake Bwana,
Matukio kamwe hayatatukatisha tamaa ah,
Na tutaweza yote,
kwa jina Lake mwenye nguvu
Na kwa mkono wake Yeye
Mwenyewe atatuongoza"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…