Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,488
Mwenyewe atatuongoza, hilo halina shaka[emoji847]Mbele tunasonga kama injili.
I was passing through your past comments😘
"Wakati tulionao si wa kuomboleza tena,
Siku za kilio zimepita zimekwisha aahh,
Sasa twasonga tena
mbele kwa kazi yake Bwana,
Matukio kamwe hayatatukatisha tamaa ah,
Na tutaweza yote,
kwa jina Lake mwenye nguvu
Na kwa mkono wake Yeye
Mwenyewe atatuongoza"
Twatiwa nguvu kwa neno lake bwana Mungu
Lakini katika mambo haya yote tumeshinda na zaidi ya kushinda....
____________________________
Kiukweli I got extremely saddened by the tragedy
My sorrows couldn't be helped by the fact that you're among the excellent individuals that I regard very high here in the jamvi.
Mungu anendelee kukupa faraja ya kweli.