Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
πππππKwingne mama mtumishi asiende maana baba mtumishi atapata tabu sana
________
Hilo joto sio zuri, ndo maana ndani ya miaka michache ijayo itabidi mama mtumishi ahamie HQ za East Africa
Mimi ninavyoona kuna dalili zote sisi ndo tukawa washindi kwenye huu uzi πππππππ
East Africa na kati wanajua vile namzimia baba mtumishi wangu mimi
Huu uzi wametuachia mimi na wewe tunabebishana.Mimi ninavyoona kuna dalili zote sisi ndo tukawa washindi kwenye huu uzi [emoji23][emoji23]
Tunabebishana kwasababu wewe ni babe wanguHuu uzi wametuachia mimi na wewe tunabebishana.
Wangu mpenzi nakupenda sanaπTunabebishana kwasababu wewe ni babe wangu
Sana tangu nilipotoka kijijini kwetu iringaHuu uzi wametuachia mimi na wewe tunabebishana.
Sana tangu mwaka JanaWangu mpenzi nakupenda sanaπ
Sahau kuwa mi ni muoajiSana sanaaa ata kuchezea lakini kukuoa sahau
Sahau kupiga Mahesabu uone motoSana sanaaa ata kuchezea lakini kukuoa sahau
Sahau kabisa mimi kumuacha mama mtumishiSana sanaaa ata kuchezea lakini kukuoa sahau
Mama mtumishi amekufa ameoza kwa baba mtumishi.Sahau kabisa mimi kumuacha mama mtumishi
Baba mtumishi amefurahi, alikua amem misi "pisi"Mama mtumishi amekufa ameoza kwa baba mtumishi.
Pisi yake inajilalamisha sana baba mtumishi akiisusa kidogo.Baba mtumishi amefurahi, alikua amem misi "pisi"
Kidogo si habaPisi yake inajilalamisha sana baba mtumishi akiisusa kidogo.
Haba na haba kujaza kibaba.Kidogo si haba
Kibaba ni kikubwa bila shaka kwasababu haba ni kiasi kidogo, tukija kwenye methali hii husika inatufundisha kuwa ukikusanya kiasi kidogokidogo, na tena, na tena, na tena, mwisho kitakujakuwa kikubwa.Haba na haba kujaza kibaba.
Mama mtumishi anaunga mkono hoja kwa asilimia zote.Kibaba ni kikubwa bila shaka kwasababu haba ni kiasi kidogo, tukija kwenye methali hii husika inatufundisha kuwa ukikusanya kiasi kidogokidogo, na tena, na tena, na tena, mwisho kitakujakuwa kikubwa.
Au nasema uongo Baba Mtumishi na Mama Mtumishi?
Baba mtumishi nimegundua huu uzi unakaribia ukingoni.
Baba mtumishi nimegundua huu uzi unakaribia ukingoni.
Mshindi atapewa hela ngapi?
Hela ngapi utanipa nikiwa mshindi ?Baba mtumishi nimegundua huu uzi unakaribia ukingoni.
Mshindi atapewa hela ngapi?