Wa mwisho ndiyo mshindi

Kila muda natamani nikuone babe wangu😘.
Hebu mbariki kidogo mama mtumishi😉
........
Bia yetu haijulikani alipo na hajarudi jukwaani hadi muda huu.
Muda huu nimetoka kuskiza kidogo ile 'spichi'....nadhani hili suala mkuu angeweza kuli handle much better

Embu imagine namna mdogo ake Klopp, bwna Tuchel ame handle suala la Lukaku professionally.

Anyway, tuendelee kuupiga mkubwa 🤣🤣

_________
Picha hii hapa....nimepigwa na TECNO ikatoka nikiwa nimevaa kofia eti 😏

 
Eti unanipa picha gani hiyo?


..............
Kijani kibichi weupe sana kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…