Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Kutofautiana kupo, Ila sio kwenye kupeana michongo ya kaziSawa kwa watu wote haiwezekani kwasababu Maisha kuna kutofautiana
Kazi hamna saivi, serikali imesema vijana wajiajiriKutofautiana kupo, Ila sio kwenye kupeana michongo ya kazi
Wajiajiri vipi bila mtaji?Kazi hamna saivi, serikali imesema vijana wajiajiri
Mtaji ndio changamotoWajiajiri vipi bila mtaji?
Changamoto unaijua kumbe! Aya naomba mtaji hata wa mawazo au fedha Nikupe account Namba au?Mtaji ndio changamoto
Au twende kwa mkuu tukaombe msaada maana me mwenyewe sina maishaChangamoto unaijua kumbe! Aya naomba mtaji hata wa mawazo au fedha Nikupe account Namba au?
Maisha ni connection, inabidi tuungane kwa pamoja tutafute Maisha.Au twende kwa mkuu tukaombe msaada maana me mwenyewe sina maisha
Maisha yanabadilikaMaisha ni connection, inabidi tuungane kwa pamoja tutafute Maisha.
Yanabadilika ila kwa mbinde sanaMaisha yanabadilika
Sana, lakini usikatishwe tamaa na maneno ya watuYanabadilika ila kwa mbinde sana
Watu wangine ni kuwaepukaSana, lakini usikatishwe tamaa na maneno ya watu
Kuigwa katika Maisha kwa mienendo mizuri ndivyo inavyotakiwaHuu ni mfano wa kuigwa
Inavyotakiwa kufuatwa na wajanja woteKuigwa katika Maisha kwa mienendo mizuri ndivyo inavyotakiwa
Wote wametenda dhambiInavyotakiwa kufuatwa na wajanja wote
Nalog off
Dhambi yatupasa tuziepuke, tutende yaliyo memaWote wametenda dhambi
Mema mengi yakitendwa ni faida kwa jamiiDhambi yatupasa tuziepuke, tutende yaliyo mema
Jamii ya Mikunde hujumuisha mazao kama Kunde, Choroko, Mbaazi, na MaharageMema mengi yakitendwa ni faida kwa jamii
Nalog off
Maharagwe na wali naupenda sana huu msosiJamii ya Mikunde hujumuisha mazao kama Kunde, Choroko, Mbaazi, na Maharage